FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Tuesday, 15 March 2016

MARIOO - MBONI YANGU | COMING SOON

Nyota mpya wa KIUME katika tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva MARIOO  ambaye hivi karibuni ata tambulisha  ngoma yake mpya iitwayo “mboni yangu"


Ameiambia jogoomtundu.com kuwa mbali na kutoa ngoma yake ya  ‘mboni yangu’ kuna ngoma mbili matata ziko jikoni ambazo amepanga kuachia moja moja kila baada ya miezi mitatu. 

 

Marioo mwenye ndoto ya kufika anga za kimataifa amesema anavutiwa zaidi na msanii mo music kulingana na jinsi anavyofanya kazi zake za muziki, hata hivyo MARIOO amesema ana amini ata toboa anga za kimtaifa endapo mashabiki watapokea vizuri ujio wake kwa kuwa kwasasa ameamua kuwekeza nguvu zake katika kazi ya muziki. Yupo chini ya VIPAJI TZ na graphics wake ni BOB CAT


No comments:

Adbox