Mwimbaji staa wa bongofleva Ben Pol anazimiliki headlines za Tanzania kwa kutoa official remix ya wimbo wake NITAFANYAJE ambao amewashirikisha VJ Adam kutoka Nigeria naG nako
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Ben Pol, Vj Adam na G Nako wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu.
No comments:
Post a Comment