Up coming artist KILLY ameachia ngoma mpya leo ikiwa ni katika mfululizo wa Albam yake inayokuja soon mzigoni,Ngoma inakwenda kwa jina la USIWAZE,killy anaingia kwa kasi katika tasinia hii ya bongo freva.Wadau mumsapport coz anajua na ngoma yake ni ngoma ambayo tunaamini itafanya vizuri siku za usoni
Wednesday, 19 November 2014
AUDIO : KILLY_"USIWAZE".MP3
Tags
# music
About Jogoo Mtundu
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
music
Lebo:
music
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment