FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday 1 August 2014

MMMH..HII MITEGO YA BINAMU YANGU JAMANI NI HATARI TUPU...!

Mimi na dada yangu mtoto wa mjomba tumekuwa pamoja na kuzoeana sana, hadi wakati mwengine hutaniana kupita kiasi, Binti huyo yani binamu anaishi moshi na mjomba ambako mimi huenda mara kwa mara pindi nikiwa likizo.
Mjomba angu ni mkali sana, na huchunga sana watoto wake wakike, hivyo binamu yangu huyo ni mtoto wa geti kali ile mbaya hakuna kwenda popote zaidi ya kwenye bustani tu iliyopo nje hapo nyumbani.

Mjomba angu huniamini sana hata wakati mwengine husafiri na mke wake na kuniacha nyumbani hapo na binamu yangu huyo. Siku moja mjomba alipata safari ya kwenda nairobi na kuniacha mimi binamu na dada wa kazi.
Hiyo siku binti huyo alivaa nguo ambao sijawahi kuona amevaa toka nimjue alikuwa akizunguka hapo ndani huku akijiachia bila wasi wala kujali mimi nipo. Kwakweli ni msichana mwenye mvuto yani kama una moyo mwepesi unaweza kuomba tunda.

Ilifika wakati mpaka akaanza kuja na chumbani kwangu akiwa amevaa nusu uchi nakutaka ni mfanyie massage akidai mgongo unamuuma, sikuweza kufanya hivyo mpaka akaniuliza kwanini unanifanyia hivyo, na mimi nikamuuliza kwani hujui mi ni nani yako akajibu kwa unyonge sina jinsi naumia nisaidie hatojua mtu...
daah basi nilimuelewa nikamfanyia massage na nikamuacha aende kwakweli ulikuwa ni wakati mgumu sana kwangu mpaka pale mjomba alivyorudi na nikaaga nikaondoka zangu. ila nashukuru sikutegeka.. Japo Niliwahi kusikia Kuwa Eti binamu ni Nyama ya Hamu ..Je Ukweli? 

No comments:

Adbox