Ni Story iliyochukua headlines hasa
kwenye vyombo vya habari na mitandao hivi karibuni baada ya Diamond
Platnumz kukutana na rapper wa marekani Kanye West Los Angeles Marekani.
Sasa basi ninajua nina watu wangu ambao
mlikuwa na maswali mengi yasiyokuwa na majibu juu ya ile picha na hapa
nakukutanisha na Sallam ambaye ni meneja wa Diamond Platnumz akifunguka
exclusive kuhusu kile kichotokea siku ambayo Diamond alipokutana na
rapper Kanye West.
Kama ulimiss Show ya Diamond iliyovunja rekodi Marekani… Promota anasema watu 500 walikosa nafasi
No comments:
Post a Comment