FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday, 3 July 2014

MADUKA ZAIDI YA 20 YABOMOLEWA MITAA YA MSASANI JIJINI DAR, ANGALIA HAPA...!


 Meneja biashara wa kampuni ya MEM AUCTIONEERS AND GENERAL BROKERS LTD akizungumza na waandishi wete eneo la tuki na kuelezea jinsi wanavyotekeleza amri ya mahakama.
 Hii ndiyo hati ya amri ya mahakama iliyotolewa kwa ajili ya kuwahamisha wapangaji hao
 Mfanyabishara Moses akijaribu kuokoa vitu vyake bila mafanikio.

 Habari zaidi juu ya tukio hilo USIKOSE KUSIKILIZA 93.7 E-FM RADIO JIONI YA LEO  ILI KUJUA NINI KIMETOKE..!
Post a Comment
Adbox