FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 16 July 2014

HII NI KUHUSU JOH MAKINI KUFANYA COLLABO NA MSANII HUYU WA NIGERIA!! AMWIMBISHA KISWAHILI


 
Coke Studio ni project inayokutanisha wasanii mbalimbali wa Afrika ambao mbali na kupata nafasi ya kufahamiana lakini pia inawapa fursa ya kuweza kushirikiana kwa kufanya nyimbo pamoja na kutengeneza network mpya katika nchi wanazotoka.

Mwamba wa Kaskazini mwaka huu ni miongoni mwa wasanii waliopata shavu hilo, na kwa sasa yupo jijini Nairobi alikosindikizwa na G-Nako. Akiwa kwenye project hiyo Joh amefanikiwa kufanya collabo na muimbaji wa kike kutoka Nigeria, Chidinma katika studio ya RKay na kufanya uhusiano kati ya wasanii wa Tanzania na Nigeria uzidi kukua.
Post a Comment
Adbox