FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 16 July 2014

Kutoka kwenye familia ya muziki ya Snura huyu hapa mwingine anaitwa Y tony.


IMG-20140619-WA0063Kama mfatiliaji wa show mbalimbali anazofanya Snura kwa hivi karibuni amekua akimkaribisha msanii huyu kwenye show zake kama Sapraiz kwa mashabiki wake ambao wanakua wamekusanyika kutazama show yake.


Anaitwa Y Tony ni moja kati ya wasanii walioingia kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Award 2013/2014 kwenye kipengele cha wasanii chipukizi,Watanzania wengi wamemjua Y Ton baada ya singo yake ya Masebene.
Huu wimbo unaitwa Shtobe na Y Ton yuko chini ya Hk ambaye pia ni meneja wa msanii Snura na pia aliwahi kuwa meneja wa Marehemu Sharo Milionea.
Bonyeza play kusikiliza na kudownload.
Post a Comment
Adbox