FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday 9 February 2014

‘Cant Remember to Forget You’ Ya Shakira na Rihana Yadaiwa kuchochea vitendo vya Usagaji…!!


RIHANA
Video ya wimbo wa Shakira ‘Cant Remember to Forget You’ aliyompa shavu mwimbaji mwenzake wa Caribbean, Rihanna imekosolewa vikali na mwanasiasa mmoja nchini Colombia anayefahamika kwa jina la Marco Fidel Ramirez, akidai kuwa kinyume cha maadili na hivyo kuwaharibu watoto wadogo.
 
Marco Fidel, ameiomba serikali ya Colombia kuipiga marufuku video hiyo ama vipande vya video hiyo ambavyo amedai kuwa vinasapoti usagaji, uvutaji sigara na mauaji.  
 
“Our Shakira with her erotic video is promoting tobacco usage and has become the wost example for our youth.” Alitweet mwanasiasa huyo kutoka Bogota, Colombia.
 
“Shakira’s new video is a shameless case for lesb**nism and immorality. It is a danger to children. It sends a provocative message to weak people who can be polluted and inducet to practice lesbian**m.” Aliongeza katika tweet nyingine.
RIHANA
Mwanasiasa huyo ambaye amekuwa akijiita mlinzi wa kanuni na thamani, aliwahi pia kuzikosoa baadhi ya video nchini humo kwa madai ya kutofuata maadili.

No comments:

Adbox