
Ikiwa ni siku ya kwanza katika mwaka 2016 yaani mwaka mpya, kila mtu amesherehekea kwa namna yake. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyosherehekea sikukuu ya mwaka mpya. Wengine walisherehekea sikukuu ya mwaka mpya wakiwa majumbani kwao na wapenzi wao na wengine kwa vinywaji flani hivi.

Kiungo wa Man United Bastian Schweinsteiger

Harry Kane wa Tottenham Hotspurs na mpenzi wake

Neymar

Neymar wa FC Barcelona na washikaji zake

Cristiano Ronaldo akijiandaa kugonga vyombo

Frank Lampard na familia yake

Kevin De Bruyne wa Man City akiwa na mpenzi wake

Theo Walcott wa Arsenal na mpenzi wake

Smalling wa Man United na mpenzi wake
No comments:
Post a Comment