Unaweza kuona jinsi ambavyo wenzetu
wameyatengeneza magari yao vizuri na yakapendeza bila kuweka urembo
mwingi, kwangu kitu kikubwa cha kwanza kwenye kulifanya gari livutie ni
rims.
Uzuri ni kwamba ukishapata idea ya
unachokitaka ni rahisi kubadilisha gari lako manake siku hizi mitaani
kuna mafundi wazuri sana na vitu vingi vinapatikana kirahisi.
Usiache kuniandikia comment yako mtu wangu, gari namba ngapi limekuvutia zaidi? nini ulichokipenda?
No comments:
Post a Comment