FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday, 28 November 2014

Baada ya taarifa juu ya migogoro ndani ya Bunge la Afrika Mashariki, unajua nini kimeamuliwa?
Margaret-ZziwaSpika wa Bunge la Afrika Mashariki EALA, Margaret Zziwa amesimamishwa kazi na Wabunge wa Bunge hilo kwa kile kinachoelezwa kuwa amekuwa akiendeleza ubaguzi kwenye ajira, ufisadi na pia hana uongozi bora.
Katika mahojiano aliyoyafanya na kituo cha BBC amekana madai hayo na kusema malumbano yanayoendelea ndani ya Bunge hilo yanatokana na siasa za chuki baina ya Wabunge na kusababisha Bunge hilo kutimiza majukumu yake.
Uchunguzi unafanyika ili kujua kama madai yaliyopelekea kumsimamisha yalikuwa na ukweli wowote.
Hapa nimekuwekea taarifa hiyo ambayo iliripotiwa na BBC, unaweza kubonyeza play kuisikiliza.
Post a Comment
Adbox