FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 12 October 2014

MTOTO WA MILLION 50 MWANAFA AFUNGUKA KUHUSU MSANII Y TONY NA MO MUSIC Msanii mkongwe wa HipHop Tanzania Mwana f.a Anaetamba na ngoma yake ya Mfalme aliomshirikisha G nako.. ameweka wazi hisia zake kwa wasanii chipukizi wanaokuja juu, kwa kasi ya ajabu sana. na kuwataja wasaniii wawili hao wanaofanya vizuri katika game, kuwa ni Msanii Y TONY alieimba wimbo wa Masebene na anaetamba na ngoma yake ya  MY SHITOBE, Na msanii mwingine toka mwanza MO MOSIC anaetamba na nyimbo yake ya BASI NENDA. Mwana fa Ameyasema hayo katika kipindi cha ALA ZA ROHO kinachoendeshwa na mwana dada mwenye swagga za ajabu DIVA LOVNESS LOVE kutoka clouds fm.. Usiku wa jana. mwana fa aliulizwa na diva ni msaniii gani chipukizi unahisi atakuja kuwa tishio katika game la bongo fleva. Hapo ndipo alipowataja wasanii hao wawili YTONY na MO MUSIC. Kiukweli hizo ni namba ambazo unatakiwa kuzifatilia kwa ukaribu sana.ukweli utabaki kuwa hawa vijana wanafanya poa sana sasa..
Y tony
Post a Comment
Adbox