FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 12 October 2014

kutana na Mbunifu wa mavazi ya watu maarufu hapa Tanzania ambaye ni kijana mdogo Tu...na tena ni mwandishi mzuri wa story

 Idrissir daudi ni miongoni mwa vijana ambao wanakuja kwa kasi kutokana na jinsi wanavyo jishugulisha katika kutafuta mafanikio.Nivitu vingi hufanya kuendeleza kipaji chake kwani hivi sasa yupo nchin ya kenya kwenye shuguli zake.ukitaka kumpata unaweza ukamcheki kwenye mitandao ya kijamii kama facebook , instagram ,whatsapp na mengine ila kwa sasa nitakupa jina ambalo hutumia facebook -grema JrArtist Le.
                 ni kati ya filam alizo ziandaa itakuja hivi kalibuni ( coming soon)
                    masele (kushoto)...... Idrissor (katikati) pembeni huku ni msanii mwenzao

Idrissor Daudi


                     pande fulani wakiwa wanamalizia kipande cha movie yao

                                                 wakipata msosi kidogo


                                        ni nguo alizo ziandaa mbunifu huyu

                     
imeandaliwa na-kenny bronx & kindamba
Post a Comment
Adbox