PAMOJA na
kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao
haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ‘G.
Habash’ na ‘mtalaka’ wake, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, Jumamosi
iliyopita walifanya tukio lililowashangaza watu kufuatia kila mmoja
kuingia ukumbini akiwa na kampani yake na kukwepana kama paka na panya,
Amani liliwanasa kwa vile lilikuwepo.
Thursday, 18 September 2014
Home
/
udaku
/
LARD JAY DEE NA GARDNER SASA NI KAMA VILE MAJI NA MAFUTA.... GARDNER AJIPOZA NA KAMCHEPUKO TENA KA MISS
LARD JAY DEE NA GARDNER SASA NI KAMA VILE MAJI NA MAFUTA.... GARDNER AJIPOZA NA KAMCHEPUKO TENA KA MISS
Tags
# udaku
About Jogoo Mtundu
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
udaku
Lebo:
udaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment