FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday 18 September 2014

HAWA HAPA AUNTY EZEKIEL, CASSIM MGANGA WAKIFANYA YAO KWA OBAMA, WASHINGTON, DC!


Cassim Mganga  na Aunty Ezekiel

Aunty ezekiel
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
Aunty ezekiel
Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC
Aunty ezekiel
Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Aunty ezekiel
Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC
Aunty ezekiel na Kassim Mganga
Cassim Mganga  na Aunty Ezekiel wakipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama
Cassim Mganga  na Aunty Ezekiel
Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga
Cassim Mganga  na Aunty Ezekiel Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga

No comments:

Adbox