MUME wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amesherehekea Sikukuu ya Idd vibaya baada ya kupata ajali wakati akienda msikitini. |
Mume wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi akionyesha majeraha baada ya ajali hiyo.
Chanzo cha habari kilitiririka kuwa, Gadner alipata ajali hiyo maeneo
ya Mlimani City alipokuwa akishuka kwenye Bajaj ambapo Bodaboda
ilimpitia na kumgonga.![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb9IqWYXmHkVm3NGpv1bKez7H9z5CCGAJRoorDPy029gKMSnemrfP4fwsZFu5TScqRy3WzIA6ByCduZm3XAL2NgS/namumewe.jpg?width=650)
No comments:
Post a Comment