Si
hali ya kawaida kwa Mwalimu Mkuu kuwaamrisha wanafunzi kuzomea mtu na
haswa mama wa mtoto ambaye pia anasoma shule hiyo hiyo,idara ya Hekaheka
ina stori jinsi Mwalimu Mkuu alivyowaambia wanafunzi kumzomea mama
huyo.Hapa kaongea mama aliyezomewa,mtoto wake pia pamoja na Mwalimu ambaye alipigiwa simu ingawa ushirikiano wake haukuwa mzuri kwa idara ya Hekaheka.


No comments:
Post a Comment