Kabla ya kutoka na ‘Kamwambie’ na kisha kufuata na hits nyingi
mfululizo, Diamond alikuwa rapper. Na katika kuthibitisha kuwa bado
anaweza kuchana, hitmaker huyo ameitumia beat ya wimbo ‘Show Me’ wa Kid
Ink f/ Chris Brown kwenye kipindi cha The Hitlist cha Choice FM na
kuwaacha watangazaji wa show hiyo mdomo wazi.
No comments:
Post a Comment