FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Saturday, 2 August 2014

Baada ya Nicki Minaj, huyu ndio staa mwingine wa dunia alieandika Kiswahili




Screen Shot 2014-08-02 at 7.30.26 AMStori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram kumuenzi Mzee Mandela baada ya kifo ambapo baada ya kumsifia aliandika mwishoni ‘madaraka kwa watu’
Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuandikia hashtag ya #SIMBA.
Screen Shot 2014-08-02 at 7.24.16 AM
Screen Shot 2014-08-02 at 7.24.30 AM

No comments:

Adbox