Agness Masogange na Mwanadada Mkenya
Corazon Wote wamejaliwa maombo mazuri yenye kuwafanya wanaume wa run
mad, Hawa walianza kusifiana Kupitia Instagram huku wakiwa hawajakutana
uso kwa uso , Agness akiweka picha basi Corazon ata comment na kuisifia
vile vile Corazon akiweka picha Masogange ata comment kuisifu , Wawili
Hao hatimae wameonana South Afrika na Kula Bata Pamoja.....Kwa unavyoona
Who is Cute zaidi?

No comments:
Post a Comment