FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday, 8 August 2014

BAADA YA KUFANYA SIRI SASA MAMBO HADHARANI KATI YA PETITMAN NA HUYU DESHI DESHI WA DIAMOND!!!


Hivi karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa ENDLESS FAME, Petitman maarufu kama Mutoto ya Madame Wema au Petitman Wakuache....sasa leo hii imebainika wazi kua wawili hao ni wapenzi...

Ilianza hapa....

MENEJA wa Wema Sepetu, Martin Kadinda aliweka picha hii kwenye ukurasa wake wa instagram ana kuandika "ALERT!!! ALERT!!!"
 Akiashilia kuna kitu hapa........

Hatuja kaa vizuri Usipojipanga akaibuka na hii;
Post a Comment
Adbox