FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday 4 July 2014

UNAAMBIWA KICHAPO ALICHOCHEZEA DIDA SI MCHEZO....UKIMWONA UTAMWONEA HURUMA...TAZAMA HAPA


Picha zinazoonyesha jinsi mtangazaji wa kituo cha Redio cha Times, Khadija Shaibu alivyochezea kichapo kutoka kwa mumewe, Edzen Jumanne zimevuja.

Majeraha katika mwili wa Dida baada ya kipigo kutoka kwa mumewe Ezden.
Picha hizo zinamuonesha Dida akiwa na majeraha makubwa sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo mkononi, kichwani na mapajani.

BONYEZA HAPA ILI KUPATA UMBEA ZAIDI WA MASTAA
Dida.
Akizungumzia kipigo hicho hivi karibuni, Dida alidai kuwa, baada ya kutofautiana kufuatia wivu wa kimapenzi, mume wake huyo baada ya kumporomoshea mitusi, alichukua mkanda wa suruali na kumpiga nao hadi kumsababishia majeraha hayo hali inayomfanya muda mwingi avae kininja kuficha aibu.
Dida akionyesha majeraha aliyoyapata.
Mpaka sasa wawili hao kila mmoja kivyake huku ndoa ikielezwa kuwa haipo tena.

No comments:

Adbox