Mambo yametoka huko INSTAGRAM....Calisah ambaye ni Model aliewhi
kushiriki shindano la Mr Tanzania (2013-2014) na kushika nafasi ya
4...ameamua kuweka wazi uhusiano wake wakimapenzi na mwanadada
Wolper..japokuwa kwaupande wake Wolper hajasema chochote hadi sasa
hivi.
#ZahiviKaribuni
#ZahiviKaribuni
Posted by 09:43
| at
No comments:
Post a Comment