FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday 10 July 2014

BAADA YA KUTEMANA NA DIAMOND, PENNY ACHUMBIWA

VJ Penny
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba.
Pia juzi swahiliworldplanet ilisikia kuwa penny amechumbiwa ingawa haikupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram inayoonyesha ameshachukuliwa tayari ingawa haijajulikana amechumbiwa na mwanaume gani. Vj Penny ameandika "Road trip..........site here we come....Cc @HalimaKimwana1"
Pete ya VJ Penny
Kwa upande mwingine nako kunasema kuwa mama Diamond amesema kuwa ni lazima Diamond amuoe Wema Sepetu. Inadaiwa mama Diamond ameyasema hayo juzi katika birthday yake ambapo alizawadiwa gari na Diamond ambaye hakuwepo nchini lakini Wema alikuwepo kwenye shughuli hiyo.

                                                  Wema na Diamond
 
credit : swahili world planet

No comments:

Adbox