FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday 17 July 2014

(TOP 4)MASKIN HAPPINESS MAGESE ....SASA HALI YAKE NI TETE, ANAKOJOA KWA KUTUMIA MIPIRA.HIVI NDIVYO ANAVYOTESEKA, WATANZANIA TUMUOMBEENI JAMANI


JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.
Happiness Magese anasihi wanawake kucheki afya zao mara kwa mara wasije wakakutwa na tatizo kama lake la ugumba ambalo limeharibu na kibofu chake na kupelekea hata kushindwa kukojoa kwa njia ya kawaida na badala yake anatumia mipira, ni vema kuchek afya mara kwa mara.

No comments:

Adbox