FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday 18 July 2014

HEEE!!! HAYA NAYO MAJANGA ~ MARTIN KADINDA NA TUHUMA ZASHOGA, KILA KITU WAZI, SOMA HAPA


Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amesema kuwa amekuwa akikutana na changamoto kutoka kwa wanaume wengi wanaodhani kuwa yeye ni shoga na kufikia hatua ya kumtumia ujumbe wa kumtaka kimapenzi.

SOMA NA HII=>HII INAWAHUSU WAREMBO WOTE IKIWEMO WEMA SEPETU, AUNT EZEKIEL, KAJALA, HAMISA NA WADADA WOTE TANZANIA
“Kila mtu anakuwa na maswali yake anaya-raise kutokana na anacho kifikiria katika akili yake, Watanzania tunatabia ya ku-create situation katika akili zetu halafu we want everybody to accept.Kwamba mtu tu anaamka asubuhi may be ana matamanio na wewe anaanza ku-raise hilo swali aone jibu litakuwa ni nini. Wapo wengi (wananitamani) wako hivyo, facebook, Instagram mtu atakutumia namba ,

SOMA NA HII=>TAARIFA KAMILI JUU TAARIFA ZA KIFO CHA DR. WILBROAD SLAA WA CHADEMA..!!

yake, hakwambii lakini unaona kabisa huyu, nakukubali sana I wish siku moja uje nyumbani kwangu au can I come to your place, mimi sitakagi hata kwenda huko najua nitajiuliza imekuaje mpaka imefikia hivi, basi nasema sawa. Kwa sababu mimi facebook nakuwa
mkweli sijawahi kujibu mtu tangu 2012, I have a person huwa anazipitia, akiulizia mtu maswala modelling mpe namba ya fulani, mambo mengine binafsi usiwajibu achana nao, kwa sababu mara ya kwanza nilikuwa ninadhani I should meet these people talk to them this is not right but nikaona unapoanza kuwa unajihusisha ndipo unapojikuta unaanza kuingia bila kujua” Martin Kadinda aliambia Sporah Show.
Pia Martin amesema kuwa ana mpenzi wake ambaye hapendi kumuweka wazi ili kulinda heshima yake.

No comments:

Adbox