FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday 16 July 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 HAYA HAPA..BOFYA HAPA KUANGALIA JINA LAKO FASTAAAA


MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825


Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

KUYAONA MATOKEO . ==>BOFYA HAPA

No comments:

Adbox