Msanii
wa filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ hivi karibuni aliibua gumzo maeneo
ya Mlimani City jijini Dar kutokana na kivazi alichokuwa amevaa huku
makalio yake yakionekana kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
Tukio hilo lilitokea juzikati wakati Koleta alipokuwa akitoa kwenye lango kuu kuelekea ilipo ‘parking’ ya magari akiwa na mwanaume aliyeonekana kama mpenzi wake.
SOMA NA HII=>SIRI NZITO YAFICHUKA KWA WADADA WA BONGO WENYE MAKALIO MAKUBWA!!

“Mh! Huyu si yule Koleta muigizaji, haya makalio yake daah! Au kishatumia Mchina maana…!” alisikika akisema kijana mmoja aliyekuwa akimsindikiza kwa macho huku wengine wakiendelea na mjadala juu ya kisuruali alichovaa na mwanaume aliyekuwa naye kama ni mpenzi wake ama laa.
No comments:
Post a Comment