
Raisi
mwenye guvu zaidi duniani na maadui wengi kuliko maraisi wote Barack
Obama aliamua kutembea mtaani kama raia wa kawaida. Alionekana akicheka,
kusalimia watu na hata kusimama na kupiga story na baadhi ya wakazi wa
jiji la Washington. Hii sio kitu cha kawaida kwa Raisi wa taifa kubwa
kama Marekani kuonekana akirandaranda mtaani kama mwananchi wa kawaida,
Swali ni Je Raisi wetu mheshimiwa J. kikwete anaweza kufanya hivyo? Ni
swali tu.


No comments:
Post a Comment