FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Saturday 12 July 2014

HIKI NDICHO OMMY DIMPOZ ALICHOKIFANYA KWENYE VIDEO YA VICTORIA KIMANI


Victoria-KimaniKwenye utengenezwaji wa video ya wimbo wa Prokoto wa Victoria Kimani ambao ndani yake kawashirikisha mastar wa Tanzania Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz umeonekana kama kukwama baada ya Ommy Dimpoz kutotokea kwenye video hiyo.

Kwa maelezo ya Victoria Kimani amedai kuwa alipompigia Ommy Dimpoz simu ili ajiandae kwa ajili ya kuwepo kwenye hiyo video alitoa visingizo kadhaa kikiwemo cha kukosa nguo na kuchagua muongozaji[director] wa video hiyo.
Soudy Brown alikuwepo wakati wa utengenezwaji wa video hiyo ambayo umefanyika siku chache nyuma,hapa kuna sauti wakati Victori kimani akiwa kakasirika na kuongea akiwa na Director wake aliyetoka nae Kenya.

No comments:

Adbox