| | | | | Duniani kuna vituko
jamani khaaaa, cha kumuandikia mtoto wa mwenzio hivi ni nini? hata kama
humpendi jamani maisha yenyewe mafupi haya hujui nani anatangulia
ila mie watu
wanaomuongelea Ruge mitandaoni wananishangaza, mmmh kuna watu ni viumbe
wazito hata uwafanye nini hawabebeki daah kila binaadam ana mapungufu
yake lakini kwa Ruge kumuandama wanakosea sana juzi tu hapa kasafirisha
watu kwenda kumzika Tyson katoa hela zake mfukoni kulipia ndege hilo
binaadam hawalioni, ni mara ngapi anawasaidia wasanii shida binafsi?
kweli tenda wema uende zako usisubiri shukrani, wema anaoufanya ni
mwingi kushinda huo ubaya wanaomtangazia, sema binaadam tumekariri
mabaya kuliko wema, mumuache kaka wa watu apumue kwa raha zake kama wewe
hujui kuimba hubebeki yeye afanye nini ajipendekeze tu kukupeleka juu
hata katika bible imesandika anza kwanza kujisaidia nami nitakusaidia
khaa, mtu huna adabu, huimbi vizuri una nyodo unalewa kwenye show
usipopangwa Ruge.
ulieandika ujumbe huu
muogope Mungu kwanza, ukishamuua utafanikiwa nini sasa? mxiuuuuuu watu
kama nyie ndio hamuendelei daima....
nilipomuuliza mwana FA
akaniambia hamfahamu mtu alieandika hio text, huyo mtu daah eti
umesoma nini bora yeye aliyetoa ujinga kuliko wewe mbumbu maana ungekuwa
umeenda shule usingeandika utumbo
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKo
|
No comments:
Post a Comment