Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za
udiwani kata ya malindo wilayani rungwe,Sugu amesema yeye kajenga
ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo nape pia
kamwambia kinana kuwa karibu na wakulima ni kuwapa mbolea na si kupiga
picha na wakulima kisha kutoa gazetini. Akizungumzia hoja ya nape
aliyesema sugu ni mpangaji jimbo la mbeya mjini sugu amekosoa hoja
hiyo,pia kuhusu mgogoro ndani ya chadema kasema imebaki historia ila
wana ccm wana gogoro linalokua kila siku.hakika nguvu ya umma hakuna
kulala!
No comments:
Post a Comment