FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 29 December 2013


NAPENDA KUTAFUTA WAPENZI WA ONLINE ILA TUKISHA ONANA NA KU "DO" SIWAPENDI TENA


Mimi ni Msichana wa Miaka 23 , muda mwingi nipo online kwenye Facebook ...sasa huko nimekuwa nikikutana na wavulana wazuri na huwa tunachat mambo ya mapenzi kama wapenzi .Mapenzi huwa matamu sana pale tunapochat na kufanya mapenzi online ila tukisha onana tu simpendi tena na ninatafuta mwingine online...Je nina tatizo ? nifanyaje niache?

No comments:

Adbox