
Unaambiwa Irene (hayupo kwenye hizi picha) ni mfanyakazi wa TANESCO ambapo baada ya kujua ameshinda, kwa furaha akasema >>> ”Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniona na nashukuru Vodacom kwa kuleta promosheni kwa ushindi huu nimeamini kuwa Jaymillions sio promosheni ya mzaha na matangazo bali ya ukweli na nawasihi watanzania wenzangu tuchangamkie fursa hii”

Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (Kulia) akiwa na afisa
Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania Jehud Ngolo.
Washindi wa milioni 100/-ni Uwezo Madegenge wa Kilolo Iringa, Khamis Khalid na Irene Mrema.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, amewahimiza wateja wote kuchangamkia promosheni ya Jaymiilions ili wajishindie mamilioni ya fedha kwa kuhakikisha wanatuma neno JAY kwenda namba 15544 na njia nyingine ya kushinda ni kutuma neno AUTO kwenda namba 15544 iwapo simu haina fedha ambapo mteja akiweka fedha anakatwa shilingi 300/-
No comments:
Post a Comment