
LYRICS
Intro;
mrblue..
Cousin i thought i told u dat we wont stop__
verse_1
nawazunusha chenga nyingi kama messi ndani ya dimba/
narap kwa misngi sina styles za kuringa/
sijui kujisifu sifa za kijinga ila nikitimba patashiika kama zizi lilioingia simba/
natia hasira marappers hadi wanavimba/
nazaa stanza kama ubongo ulikua na mimb/
naimba mada siimbi dada kaolewa kwenye rap mi ni kada kwa hiyo game naielewa/
wee umechelewa/
kuimba kumfurahisha flani huo ni ufinyu wa uelewa/
najenga ukuta imara wa fame yangu mwana sanaa mi ni kioo cha jamii yangu/
natoka mbali - maisha safari/
bongo nilikuja na treni - sikuja na gari/
nalenga mbaali wape habari - mwanaume siogopi kifo niko tayari..!!
chorus; mr.blu
kibaabe...!!kibaabe
tunafanya kibabe..kibaabe
kibaabe...!!kibaabe
tunatoka...kibaabe..kibaabe ..X2!!
verse2 2;
nashambulia wapinzani dimbani mfano wa winga/
naandika kwa imani hakuna shabiki anaenipinga/
naongoza mapinduzi niite Raila Odinga rapper nilikufunzi kurap na kuimbaa/
wape ripoti Tony mikosi sijatoka niko chimbo napanga vikoosi AAAH.. mistari ingekua utajiri ningeitwa boss natunga kwa umahiri ila faida kwa wadosi/
natoka mbaali - maisha safari/
bongo nilikuja na treni sikuja na gari AAAH _ NALENGA MBAALI WAPE HABARI/
MWANAUME SIOGOPI KIFO NIKO TAYAARII...!!!
instagram@tonycousin92
facebook page@tonycousin t
twitter@tonycousin92
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD
No comments:
Post a Comment