Ni hapa katika uwanja wa shule ya msingi Mabatini,kata ya Mbugani jijini Mwanza muda huu.Hali ni tulivu na uwanja umeshaanza kujaa,pilika za hapa na pale zinaendelea.

Wagombea toka mitaa ya kata hii wapo,mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje yupo na mhutubiaji mkuu, ni mbunge wa Musoma Mjini Vicent Nyerere,picha zitakuwepo punde,

Usicheze mbali na uzi huu.UPDATES:Bado viongozi wa kata wanaendelea kutoa nasaha zao kwa wapiga kura,huu ni mkutano wa kata.
-Wagombea wanaendelea kutambilishwa asilimia 85 ya wagombea ni akina mama.
-Vicenti Nyerere jukwaani anaelezea kashfa ya Escrow