FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 3 September 2014

MSANII WA BONGO FLEVA DYNA NYANGE AFUNGUKA KUHUSU UJIO WA YAMOTO BAND DODOMA KWENYE UZINDUZI WA MATEI LOUNGE & CAR WASH

hatimae msanii Dyna Nyange Afunguka Live!!!jana kupitia kipindi cha Full anyemo Xclusive,kirukacho ndani ya 97.7Nyemo Fm Radio na Kukiri kua Matei Lounge&CarWash ndio kiwanja pekee cha kujidai Ndani ya Dodoma kwa sasa!Hivyo basi Tukutane Wote Ijumaa Hii Tukaizindue Rasmi Matei Lounge&Car Wash,hku tukipata Burudani Safi toka mkubwa na Wanawe~YAMOTO BAND na Mkali Toka Dom ONE SIX,Bila kusahau kwa stage host n baba Boy @WINSTON MAKANGALE & BOSS NGASA TZ......Hivyo Tu

No comments:

Adbox