Ni bonge la show litakalo fanyika kwa mzungu leo..ni nooooooooooma sana kijana huyu ambaye kwa sasa ni tishio katika tasnia hii ya muziki.....sisemi sana ila hapana kukosa leo kuanzia mida ya saa 10 jioni mpaka majogoooooooooo..!! ? Je utakuja ni kwa bei pouwa kabisa mlangoni.
...ALL LUNNA FROM WASAFI.
by KINDAMBA
KINA DADA BUREEEEE......!!!
No comments:
Post a Comment