Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha
mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini
baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi
kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na
kuzikana.
Modo Agnes Masogange.“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuweka wazi ishu zake za kimapenzi.


No comments:
Post a Comment