Ni aibu sana kwa binti mzuri kama huyu kukosa maadili na
heshima.kufungua akaunti ya facebook na kuamua kila kukicha kupost chafu
na za aibu kwa jamii
Hii ni hatari sana.kwani kueibuka kundi kubwa sana la mabinti kukosa maadili na
kutumia
mitandao ya kijamii kuanika tabia zao chafu. Hii ni akaunti mojawapo
iliyogubikwa na vitendo vichafu na picha za aibu kutoka kwa huyu binti
mrembo wa kiafrika
No comments:
Post a Comment