FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 17 August 2014

TAZAMA PICHA 15 ZA MATUKIO YA SHANGWE ZA SERENGETI FIESTA HUKO MKOANI BUKOBA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Bukoba.

Rachel akiendelea kutoa burudani.
DJ Fetty akifanya yake.
Msanii wa muziki wa asili Saida Karoli akiwanyanyua mashabiki wake.

Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.
Dogo anayekimbiza kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Young Killer akiwaimbisha mashabiki.

Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
Rais wa Manzese, Madee akikaporomosha mashairi ya ngoma yake mpya ya Ni Sheeda.
Mkali wa ngoma ya Muziki Gani, Nay wa Mitego akiwasikilizia mashabiki wanavyoitikia nyimbo zake.
Staa wa Hip Hop, Stamina akifanya yake jukwaani.


/GPL, BUKOBA)
Post a Comment
Adbox