FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Saturday, 9 August 2014

TAZAMA MTOTO WA MIAKA 11 ALIYESTAJABISHA WATU BAADA YA KUKUTANA NA NYOKA


Binti wa miaka  11 mwenye asili ya kihindi ameonekana kuwa na hali ya maisha tofauti baada ya kumfanya nyoka kuwa kama ndio rafiki yake,mtoto huyu anye miliki nyoka aina ya kobra ambaye nyoka huyo hugonga na kumng'ata mara kwa mara lakin cha ajabu ni kwamba mtoto huyu amekuwa hasiki kabisa juu ya swala lake la kumwacha nyoka huyo na bado akiendelea kumpa matunzo kama chakula na hata kufikia hatua ya kulala naye kabisa katika kitanda kimoja,Mtoto huyo anayejulikana kwa jina la Kajol Khan alihojiwa na mtandao wa daily mail na ailikuwa na haya ya kusema
Post a Comment
Adbox