FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Tuesday, 5 August 2014

NICKI MINAJI AMETUONJESHA UTAMU WA KIPANDE CHA VIDEO YA ANACONDA


anaconda
Baada ya ku-make headline na cover kali la wimbo wa Anaconda na kuteka attention ya watu wakisubili kununua. Wimbo huo ukavuja kwenye internet na watu kuupata bure na kabla ya muda uliopangwa.


Hivi sasa Nicki Minaj anakaribia kutoa video ya Anaconda

No comments:

Adbox