FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 3 August 2014

KUHUSU MREMBO AGNES MASOGANGE KUBADILI URAIA, JE KWA SASA NI RAIA WA WAP ?



Kama mnavyojua  kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..Dada yetu Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini Afrika Kusini..Ambako kimsingi alipata bwana wa kuishinaye huko.

Leo hii asubuhi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM masogange ametupia picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini...na ku-caption alama ya kupiga makofi....hii nikuuonesha kuwa kwasasa sio raia tena wa Tanzania..kwa mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania,haziruhusu uraia wa nchi mbili kwa hiyo kama ni kweli basi Masogange sio mtanzania mwenzetu tena...Baadhi ya watu waliocomment kumsifia ameonesha kuwajibu kwa furaha zaidi..

No comments:

Adbox