FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Saturday, 9 August 2014

HICHI NDIO KILICHOTOKEA BAADA YA DIAMOND KUKUTANISHWA NA JOKETIJOKATE NA DIAMOND

Presenter maarufu ndani na nje ya bongo akiwa pia anajishuhulisha na maswala ya ugizaji Msanii Jokate Mwagelo katika hali isiyokuwa ya kawaida amekutana uso kwa uso na aliwewahi kuwa mpenzi wake msanii Diamond kaitka moja ya Interview ambayo hufanya kwenye kipindi cha The One show kinachorushwa na kituo cha Tv cha Tv1,ambapo Joakote alionekana kumwonea aibu msanii Diamond na yeye pia nguli wa bongo Fleva kuoneka akiona aibu vilevile unaweza kutizama pia hizo hapa


JOKATE NA DIAMOND
Post a Comment
Adbox