FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 17 August 2014

DALLAS ALIKUMBUKA PENZI LA JACKLINE WOLPER….AOMBA WARUDIANE


Yule zilipendwa wa sexy lady wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe aitwaye Ramadhan Abdallah Mtoro ‘Dallas’ anadaiwa kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha ikielezwa kwamba eti anabembeleza kurudiana na staa huyo waliyetengana takriban mwaka mmoja uliopita ili wakamilishe taratibu za kufunga pingu za masha.

Post a Comment
Adbox