FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Saturday, 26 July 2014

Video mpya ya Barnaba aliyoonekana na mke wake ndio hii.


Screen Shot 2014-07-26 at 2.30.12 AMHii single inaitwa ‘Wahaladee’ ambayo ni miezi kadhaa imepita tangu utoke rasmi kwenye Radio lakini July 25 2014 Watanzania wameletewa video yake ambayo imeongozwa na Nick Dizzle ambapo kingine kikubwa kwenye hii video ni mrembo alieigiza ndani yake, ni mke wa ndoa wa Barnaba (Mama Steven)
Naambiwa video imefanywa Kenya na Tanzania.Post a Comment
Adbox