FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Friday, 4 July 2014

UNAAMBIWA HUU NDO USHAHIDI UNAO ONYESHA ADAM MCHOMVU KUFUKUZWA CLOUDS FM

BAADA YA KUTOKEA UGOMVI MKUBWA JANA STUDIO KATI YAKE NA DJ FETTY ,LEO HII KATIKA MTANDAO WAKE WA INSTAGRAM ADAM MCHOMVU AMEWEKA PICHA IKIONYESHA KADI NYEKUNDU INAYO ASHIRIA NI KAMA AMEACHISHWA KAZI KUTOKANA NA MATUMIZI YA HIYO KADI KATIKA UWANJA WA MPIRA..
ILA ENDELEENI KUWA NASI KWA TAARIFA ZAIDI JUU YA TUKIO HILI LA AJABU KWA WATANGAZAJI
BONYEZA HAPA
Post a Comment
Adbox