FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday, 17 July 2014

(TOP 10) DOGO JANJA BANA....ABWATA.... ETI ADAI MUMWACHE AONYESHE URIJALI WAKE KWA HUYU MANZI HAPA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ (19) amewataka watu wanaomsema vibaya kuhusu kuwa na uhusiano wa kimapenzi wamuache kwani anaonesha urijali wake.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ (19).
Akistorisha na paparazi wetu, Dogo Janja alisema tangu aliponaswa akiwa na demu wake amekuwa akisikia maneno ya kila aina ikiwa ni pamoja na baadhi ya watu kusema kwamba ameanza mapenzi akiwa na umri mdogo kitu ambacho hakubaliani nacho kwani wapo wasanii wenye umri kama wake akiwemo Young D na Young Killer lakini watu hawawashangai.
 dogo janja‘Dogo Janja’ akipozi.
“Mimi nawashangaa sana watu wanaonisema kwa sababu eti nina demu, nimeamua kuonyesha urijali wangu au wanataka nigeuke shoga mbona wasanii kibao ambao ninalingana nao wana wanawake?” alihoji Dogo Janja ambaye sasa amerejea katika Kundi la Tip Top Connection alilokuwa amelikacha kwa muda.
Post a Comment
Adbox